VVic Automations Hub

Kesi za Kazi

Kesi za kazi halisi za wateja zitaongezwa hapa mara miradi itakapokamilika. Kwa sasa, hii ni mifano ya aina za sekta na automation tunazoweza kujenga kwa ajili yao.

Maduka na Wauzaji Mtandaoni

Automation ya kupokea order kupitia WhatsApp, kufuatilia malipo na kutuma taarifa za usafirishaji.

Real Estate na Ujenzi

Usimamizi wa leads za wateja wanaotafuta nyumba, viwanja au huduma za ujenzi.

Kliniki na Huduma za Afya

Follow-up za miadi na taarifa za wagonjwa zinazosimamiwa kwa mpangilio na usiri unaostahili.

Vyuo na Mafunzo

Usimamizi wa wanafunzi wanaouliza kuhusu kozi, ada na taratibu za usajili.

Usafirishaji na Logistics

Ufuatiliaji wa maombi ya usafirishaji na mawasiliano ya haraka na wateja wa mizigo.

Huduma za Urembo na Saluni

Usimamizi wa booking na ukumbusho wa miadi kwa wateja wa kawaida.

Je, unataka biashara yako iwe kesi ya kwanza ya kazi? Anza kwa kufanya ukaguzi wa bure wa automation.

Anza Ukaguzi wa Bure